Makengeza ni nini??

Makengeza ni hali ya macho kutoangalia sehemu moja kwa pamoja katika wakati mmoja.

Makengeza Dalili

Makengeza yanaweza kusababishwa na tatizo katika misuli ya macho , nevu ya kuona au sehemu inayohusika na kuona katika ubongo

Tiba Makengeza

Kutokana na sababu ya macho yenye makengeza yanaweza kurekebishwa kwa miwani maalum au upasuaji

View Our Location - Google Map