Uveitis ni nini??

Ni hali ya kuvimba kwa tabaka la kati la jicho ( Uvea) ambayo inaweza kusababisha maumivu ya jicho na kupunguza uwezo wake wa kuona. Huu ugonjwa pia unaweza kuathiri lenzi,retina na nevu ya kuona na kusababisha upungufu wa kuona au hata upofu.

Uveitis Dalili

Uveitis inasababisha jicho kuvimba, kuwa jekundu na kuuma. Pia husababisha jicho kutoona vizuri.

Tiba Uveitis

Mtaalamu wa magonjwa ya macho anaweza kutoa dawa zenye steroid kwa ajili ya kutibu uveitis

View Our Location - Google Map