Mtoto wa jicho ni nini??

Inatokea pale lenzi ya jicho inapopata ukungu na kuathiri uwezo wa kuona. Mtoto wa jicho ndio chanzo kikuu cha upofu kwa watu wenye umri zaidi ya miaka 40.

Mtoto wa jicho Dalili

Kuona Ukungu ,kutokuona vizuri nyakati za usiku na kusumbuliwa sana na mwanga

Tiba Mtoto wa jicho

Mtoto wa jicho inatibika kwa kuondoa lenzi yenye ukungu kwa njia ya upasuaji.

View Our Location - Google Map