Uono Hafifu ni nini??

Hii ni hali ya kutokuona vizuri ambapo mtu mwenye hali hiyo haweza fanya baadhi ya shughuli zake za kawaida.

Uono Hafifu Dalili

Mtu anakuwa na uono hafifu pale tatizo lake la kutokuona vizuri haliwezi kuondoka kwa kutumia miwani.

Tiba Uono Hafifu

Uono hafifu unaotokana na mtoto wa jicho au diabetic retinopathy unaweza ondolewa kwa upasuaji.

View Our Location - Google Map