Jicho kavu ni nini??

Jicho kavu hutokea pale jicho linaposhindwa kutoa vimiminika vya kutosha vya kulainisha jicho hivyo huweza kusababisha athari kwenye mboni ya jicho.

Jicho kavu Dalili

Jicho likiwa kavu linaweza kuwa jekundu, jicho kuuma kwenye mwanga, pia kuhusu kama kuna kitu kwenye jicho.

Tiba Jicho kavu

Dawa za matone za macho zinaweza tumika kuondoa hali hii, pia mara chache upasuaji unawezahitaji kuzuia machozi kuondoa kwa haraka kwenye jicho na kusababisha macho kuwa makavu

View Our Location - Google Map